Sunday, June 22, 2008

Madison Avenue Manhattan

Ni bright colors tu kwa wingi. Kwa upande wangu bado nasita, ntasubiri.
Mizungukoni saa ingine poa tu window shopping. Huo mtaa unatisha kwa maduka ya vingunge wenyewe wa fashion.
Posted by Picasa

No comments: