Wednesday, June 25, 2008

Gauni la Michelle O!

Gauni alilovaa First Lady mtarajiwa lilikuwa simulizi ya nchi kwa siku kadhaa. Bei yake ni $ 148.
Duka linaitwa White House Black Market! Message received.

No comments: