Gauni alilovaa First Lady mtarajiwa lilikuwa simulizi ya nchi kwa siku kadhaa. Bei yake ni $ 148. Duka linaitwa White House Black Market! Message received.
Ni bright colors tu kwa wingi. Kwa upande wangu bado nasita, ntasubiri. Mizungukoni saa ingine poa tu window shopping. Huo mtaa unatisha kwa maduka ya vingunge wenyewe wa fashion.